johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kichwa cha Habari ni maneno ya Busara Kutoka Kwa Kiongozi mkubwa wa Dini ya Islam Shehe Ponda
Shehe Ponda anasema Chadema inaelekea Hatarini Tukihubiri Demokrasia basi Tuitekeleze na tukidai Katiba Mpya turekebishe za kwetu na Kwenye Ukomo tuwe mfano
Ukurasani kwake X ni kauli ambayo imeripotiwa kusemwa na Sheikh Ponda:
"CDM inaelekea hatarini. Tusirudie makosa tunayoyaona katika vyama vyetu. Tukihubir Demokrasia basi tuitekeleze. Tukidai katiba mpya turekebishe na za kwetu. Tukipinga ukubwa wa madaraka au muda basi tuwe mfano. Viongozi CDM zingatieni maslahi ya CDM yapo kwenye UCHAGUZI WA HAKI."
Wosia kuntu kabisa 😂😄
Kwako Malaria 2