johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sheikh Komba hajui anataka kusema nini. Ajipiganie mwenyewe kwenye kashfa zake, CHADEMA haipo naye.Wakuu,
Mambo huko CHADEMA yameendelea kupamba moto.
============================================================
Hii ni kauli ambayo imeripotiwa kusemwa na Sheikh Ponda:
"CDM inaelekea hatarini. Tusirudie makosa tunayoyaona katika vyama vyetu. Tukihubir Demokrasia basi tuitekeleze. Tukidai katiba mpya turekebishe na za kwetu. Tukipinga ukubwa wa madaraka au muda basi tuwe mfano. Viongozi CDM zingatieni maslahi ya CDM yapo kwenye UCHAGUZI WA HAKI."
Source: Mwanzo TV