Uchaguzi 2020 Shehe Ponde na Lissu waunguruma jukwaa moja Dodoma

Uchaguzi 2020 Shehe Ponde na Lissu waunguruma jukwaa moja Dodoma

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,655
Shehe Ponda leo amehudhuria mkutano wa Tundu Lissu Dodoma ,Ni dhahiri mambo ya mashehe yamepata nguvu mpya sasa kwani hotuba ya Tundu lissu akiwa huko Tabora sasa imeanza kazi yake.

CCM hawana namna kwa sasa ni kuwaachia hao mashehe kama kweli anachokiongea Lissu kuwa wapo mahabusu kwa miaka zaidi ya minne bila mashtaka yeyote ni sahihi.

Kuthibitisha usahihi wa kauli zake kuwa mashehe wanaozea magereza ,Tundu Lissu amemuuliza Shehe Ponda Dar wapo wangapi magereza Shehe amejibu zaidi ya mashehe 100.

Tundu Lissu hatanii ,Ni dhahiri kuna giza nene mbele kama watu wakilazimisha mambo ambayo wananchi walishayakataa.

Huu muunganiko kwa jicho la tatu kuna jambo linakuja mbeleni.
 
Back
Top Bottom