Elections 2010 Shehe Yahaya Asakwa!

mudushi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
151
Reaction score
86
Yule Baali wa pale magomeni inasemekana anasakwa na baadhi ya Wagombea udiwani na Ubunge wa CCM kwa kuwatapeli. Inasemekana aliwaahidi kuwa wangeshinda na kama kuna hali mbaya basi angewarekebishia mambo. Lakini sivyo, hivyo wameamua kumsaka. Wamo Hawa na madiwani watatu wa Ubungo.
 

yule ni muongo na baba wa uwongo huo. Sisiemu kwa kuwa nao ni waongo, wanamtumia sana kubashiri bambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…