nguvumali JF-Expert Member Joined Sep 3, 2009 Posts 4,924 Reaction score 1,334 Nov 1, 2010 #1 Shehe Yahya Hussein yuko wapi ? simu zake hazipatikani, Namashaka hali yake ni tete , maana alisema kuna uwezekano wa Yeye kufa kama hakutakua na mgombea atakaeaga Dunia. bado nafuatilia Nyendo zake.
Shehe Yahya Hussein yuko wapi ? simu zake hazipatikani, Namashaka hali yake ni tete , maana alisema kuna uwezekano wa Yeye kufa kama hakutakua na mgombea atakaeaga Dunia. bado nafuatilia Nyendo zake.
H hinsy Member Joined Feb 18, 2009 Posts 16 Reaction score 0 Nov 2, 2010 #2 HA HA HA sijui kakimbilia wapi jamani maana limemshuka