Elections 2010 Shehena nzito ya vifaa vya ccm vyaingizwa nchini

Hizo fedha wangetumia kujenga angalau nyumba za walimu...
Wasingekuwa na muda wakutumia nguvu kiasi hicho..
 
ndio tatizo la kuongozwa na viongozi wenye roho mtakavitu na si mtakatifu
 
 

Acha woga wewe, fulana, kanga na magari havipigi kura
 
Wacha wafanye watakavyo, mwaka huu ni kuwanyima kura, hiyo ndio dawa pekee.
Mimi na wewe na wenzetu wengi humu JF tumedhamiria kuinyima CCM kura zetu. Ili kura zitoshe tunapaswa kufanya kazi ya ziada shekhe.
Tutumie muda wetu kuhamasisha jamii iliyotuzunguka umuhimu wakuinyima ccm kura. ukielimisha watano wa familia tofauti umeelimisha watu mia.

Ili huo mwisho wa ccm ufike lazima tujitolee ktk this last last time to work very very hard
 

Asante kwa hili kaka/dada. Mimi nimehamasisha watu huku kwamba hakikisha unawapenda mabadilko 25 nyuma yako. Kila mmoja akiwa na watu 25 hakika tumeshinda.
CHAGUA DR SLAA KAMA RAIS WA TANO IFIKAPO 31.10.2010.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 



Nahisi ndio maana DOLA aikamatiki kwetu sisi walala hoi, inaelekea reserve yote huko BOT imepelekwa CHINA, kununua hiyo shehena.
 
Haya mambo yanaumiza sana. Ukiwaza sana na kulinganisha yanayotendwa na CCM na hali ya Watz, unaweza kujikuta unakufa kabla ya muda wako. Wafanye wafanyayo, tutakutana tarehe 31 kwenye hukumu ya ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…