J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 1, 2024 #1 Serikali imesema shehena ya kwanza ya sukari imewasili kukabiliana na uhaba uliopo Wananchi sasa wawe na amani kwani sukari ipo na bei elekezi inajulikana Source: TBC
Serikali imesema shehena ya kwanza ya sukari imewasili kukabiliana na uhaba uliopo Wananchi sasa wawe na amani kwani sukari ipo na bei elekezi inajulikana Source: TBC
N Nangu Nyau JF-Expert Member Joined Jul 1, 2022 Posts 5,015 Reaction score 14,139 Feb 1, 2024 #2 Yaani sisi niwakuwa na uhaba wa sukari?. Halafu tunajitapa kabisa eti shehena imeingia.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Feb 1, 2024 #3 Miaka 60 ya Uhuru bado tunashangilia sukari? CCM ni takataka kabisa!!
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Feb 1, 2024 Thread starter #4 Nangu Nyau said: Yaani sisi niwakuwa na uhaba wa sukari?. Halafu tunajitapa kabisa eti shehena imeingia. Click to expand... Unauliza au unapigia mstari jibu?
Nangu Nyau said: Yaani sisi niwakuwa na uhaba wa sukari?. Halafu tunajitapa kabisa eti shehena imeingia. Click to expand... Unauliza au unapigia mstari jibu?