Sheherekeeni Uhuru wenu Uwanja wa Uhuru na 'Makomandoo' wenu na Sisi CHADEMA tunasheherekea Makao Makuu Kwetu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Na Sisi CHADEMA hatoishia tu Kusheherekea Siku hiyo ya Uhuru bali hata Kauli Mbiu yetu itakuwa ni Katiba Mpya kwa Tanzania tuitakayo.

Halafu na nyie Watu fulani ambao huwa mnatumwa na mnapenda kuja Kutuvamia na hata Kutupiga taarifa iwafikieni kuwa wana CHADEMA wote Siku hiyo tumekubaliana Kuvalia T-shirts Nyekundu na Raba Nyepesi hivyo tusije Kulaumiana tu na mnajua Rangi Nyekundu inamaanisha nini.

Kila Mmoja akaisheherekee tu Kivyake.
 
Kama hujui kusoma na kuandika sio aibu ukamwambia mtu wako wa karibu akuandikie post yako
 
Kusherehekea uhuru wa nchi isiyokuwepo kwenye ramani ya dunia ni kichekesho.
Mnanichanganya na vyombo vya habari.Sisi wa umri wa juzi ni sherehe za Uhuru wa;
Tanzania,
Tanganyika,
Tanzania bara.
Historia yenye ukweli ni ipi
 
Back
Top Bottom