Elections 2010 Sheik Yahaya atatoka vipi?Maana uchaguzi umefanyika

Elections 2010 Sheik Yahaya atatoka vipi?Maana uchaguzi umefanyika

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,414
Reaction score
4,534
Yule mtabiri aitwaye sheikh yahaya alitoa utabiri kuwa uchaguzi utaahirishwa kwa kuwa jambo baya litamtokea mgombea sasa atajitetea nini?
Maana uchaguzi umefanyika.
Kuhusu mtu kufa ghafla atakayempinga kikwete,Shibuda hakufa either kimwili ama kisiasa kwa kuwa ameshaukwaa ubunge...
Ajitokeze tumsikie...Kibararaka Mkubwa wa CCM wewe..
Kazi kutisha wananchi kwa ushirikina....
 
Mshirikina mkubwa yule.utabili wake ulivunjwa nguvu tangu shibuda alipompinga Kikwete.
 
Back
Top Bottom