Sheikh adai Los Angels maana yake Malaika waliopotea

Na wewe oscar unakaa kusikiliza?
 
Huyu mwamba ni mwongo sana na huwa anawaburuza kweli wavaa kobazi wenzake maana ndiyo hivyo tena shule waliipa kisogo.
Huwa ana story zake hizo kuhusu mtu kukata moto na dodoso analokutana nalo akiwa kaburini.
Nikajiuliza ina maana haka kajamaa kaliwahi kudanja kakarudi tena? Au kuna marehemu aliwahi kukata rufaa akatoa ronja kinachojiri kaburi?
Hizi dini za kuletewa zimetufanya tuwe matahira kupita jamaa wanaokula poda
 
SUBHANALLAH
 
Ndugu zangu katika imani nawaombeni muamini kila kinachosemwa na shekhe wetu huyu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…