Sheikh adai Los Angels maana yake Malaika waliopotea

Hahahaha,dah
 
Hawa ndugu zetu katika imani wakiwa wanaongelea habari za freemason na 666 hua naenjoy sana kuwasikiliza 😂 hakuna haja ya kuangalia horror movies
Hao sio habari hizo tu ,hivi ushawahi kusikia adhabu ya kaburi ? Utaomba usife ujue, maaana huko Kuna adhabu,Kuna maswali ya kutisha balaa
 
Huyo ndiye Sheikh "Coolant"/Kipozeo?

Mashehe wengi weupe,Kipozeo alitoa maoni suala la mtandao wa X/Twitter ufungiwe akijua X wanazungumzia mitandao ya ngono.
 
Labda waumini wajinga , huyo sisi Waislamu wa Ahlu_ Sunnah Wal Jamaa hatumuhesabii kama Msomi au Sheikh bali ni muongozo na mshirikina na Masheikh wakubwa wameshabainisha uongo wake na ujinga.

Wajinga katika dini ndio pekee wanaomuona huyo , Kipoozeo , Mazinge na wengine mfano wake kama Masheikh
 
Hatuwezi kukaa kinyonge ilhali jf ina watu wenye ilim, ngoja waje hawa watupe na hizo aya kabisa.
adriz , baba-mwajuma , DR Mambo Jambo karibuni
Uisilamu kwani unasema je? Uisilamu siku zote hausemwi kwa maneno ya sheikh, uisilamu unafuata Hadith na Quran, Hadith na Quran zinasema hivyo?

Wengi wanao discuss hii thread uisilamu unaishi rent free kwenye vichwa vyao, wacha waendelee kujenga na Kupangisha bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…