Sheikh adai Los Angels maana yake Malaika waliopotea

Huyo ni sheikh ubwabwa, ni MWAMPOSA wa kiislamu, japo ndugu zangu waislamu hawapendi huu ukweli, dini yetu nasi imevamiwa na wahuni kuna masheikh wameamua kutafuta pesa kwa aya za kuunga unga, kwa dini ya kiislam.
Uislam nao una kina MWAMPOSA
 
hii dunia ina mengi ya giza,
ukitaka amini usipotaka unaweza ukaacha.
sio kukashifu.
tupo tunaoamini.
 
Hii ndyo tasfri sahihi, hayo ya shekhe ni mauzauza tu
The name "Los Angeles" originates from the Spanish, meaning "The Angels," and is a shortened version of the original name "El Pueblo de Nuestra Señora la Reina de los Ángeles de Porciúncula" which translates to "The Town of Our Lady the Queen of the Angels of Porciúncula".
 
Majini(satanic activities) ni illusions za wao.
 
Angeles si majini
 
Hiyo siku nilimsikia anatamba kabisa kuwa vimondo huwa ni mfukuzano wa malaika na mashetani huko mbinguni, nikajiona mpumbavu sana mpumbafu mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…