Sheikh Gologosi afariki katika ajali mbaya

You need the holy Spirit...
 
a tragedy, mmoja alikuwa Mufti mtarajiwa na mwingine Mbunge mtarajiwa wa Lindi mjini! mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
 
Umefulia wewe..Lol...Roho mbaya tu yakusumbua
 
GT,
Mkuu inabidi ukatoe ashahadu upyaaa! wewe nani wa kujua nani ataenda peponi?..
 
i HOPE SERIKALI HAITOTUMIA KODI ZETU KUGHARAMIA MAZISHI YAKE MAANA HAKUAJIRIWA NA SERIKALI

WAPO AKINA MENGI AMBAO NAJUA WATAJITOLEA KWA KILA HALI INCLUDING KUONYESHA MAZISHI LIVE KWENYE ITV

You are being cynical sir, kwa wakati kama huu wa majonzi kwa waTanzania wengi haipendezi.
Tenda au sema lile umbalo ungependa nawe utendewe.
 
Alhamdulillah, Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un
 

Samahani wakuu. Naomba kujua maana ya maneno haya kwa sisi tusiyo Waislamu wala kujua Kiarabu.

Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un

Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea

We belong to Allah (God) and to Him we shall return


or

To Allah we belong and to Him is our return
 

GT duu?? Halafu utu na uungwana havinunuliwi walau tungepitisha harambee!


RIP Gorogosi
 
ametangulia nasi tutafuatia.

marehemu ameacha mke na m/watoto au alikuwa single?
 
Poleni Wafiwa...Sisi ni wa Allah(SW) na kwake tutarejeshwa!!

GT ...please maoni yako yanabore!!! ni Sawa umefika msibani ukaanza kumtukana marehemu mbele ya wafiwa au kadamnasi...!!! Waislam wengi hatuitaki bakwata, lkn hapa si mahala pake...lkn pia Haifai kuombeana KIFO....

Kanuni ya Msingi aliotufundisha Mtume(SAW)...inasema.Jiepusheni kutaja Mabaya ya Maiti zenu, na Jikumbusheni kwa Mema yake....!!
 
Heshima zenu wana JF!!
Nimepata habari toka Tz Kwamba Sheikh wa BAKWATA Al maarufu Seikh Gorogosi amefariki dunia. Habari zaidi zitakuja baadae.Innah lillah wa innah ilayh rajighun!!
 
Naam Muyaka anaendela anasema:
KABURI ZIMEWAKAZA
HAPANA LA KUPUMBAZA
KOTE KUMEFUNGA KIZA
ADHABU KUWASHUKIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…