Sheikh Gologosi afariki katika ajali mbaya


GT,
Ninakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe moyo wa subira na akujaalie hekima na busara sasa na wakati wote.
 
Mwenyezi Mungu Ailaze roho ya marehemu Pema Peponi, Ameen.

Maalim kwa waislam ni huwezi kwenda peoponi mpaka ufufuliwe na baada ya hapo ndipo wataangalia amali zako

sasa the question je huku nyuma amalializoziacha marehemu ni zipi?

labda tungerudi tena kwa bwana Muaka ambaye anasema:

MBONA UMEGHAFILIKA?
KWA JAMBO LISILO NA SHAKA?
SHETANI UMEMSHIKA
UMEMWACHA NABIA?





I rest my case
 
Niliwahi kuongea na sheikh Gologosi mara mbili, naweza kusema ni sheikh ambaye pamoja na kuwa na manung'uniko na serikali, kutokuwa na furaha kuwa Bakwata, aliweka maslahi ya Taifa mbele kuliko maslahi ya dini yake na maslahi yake binafsi. Kwa hiyo kama kuna mnaochukia mumchukie kwa mabaya mnayoyajua, lakini tumempoteza mtanzania ambaye aliliweka taifa lake mbele kuliko maslahi yake binafsi.
 
Niliwahi kuongea na sheikh Gologosi mara mbili... kutokuwa na furaha kuwa Bakwata.

Watu wengine kwa kutengeneza tamthiliya hamjambo. Eti Kaimu Mufti Mkuu akawa hana furaha na BAKWATA, sasa kwa nini alijiingiza huko au kwa nini asingebadilisha hayo asiyopenda BAKWATA? Mkuu Bongolander wacha kumtengenezea tenzi marehemu.
 
Last edited by a moderator:
iT IS OBVIOUS THAT YOUR MIND IS DISCOLOURED BY YOUR OBSCURE THINKING AND LACK OF OBJECTIVITY.
Tutajie Mkuu waislamu wote walioathirika na hiyo PDA ya 1964.
Na inavoelekea sasa hivi wewe ndo upo unapostahili haswa!!!
 
Duuh,nimekubali mkubwa wewe ni Game Theory. Hii comment yako imeniacha hoi. Kikubwa ni kumwombea marehemu alale mahali panapostahili peponi.
Mwenyezi mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu.Amen
 

Subhaana Llaah.

Kwa hili GT sikuungi mkono. Kumfananisha Sheikh Gorogosi na kafiri Abuu Lahab. Hapana. Ndugu yangu umekwenda too far kaka. Sema AstaghfiruLaah. Nam Mungu atakusamehe kwani yeye ni mwingi wa kukubali toba.

Hata akiwa dhaifu kiasi gani kimtizamo, kinadharia..n.k lakini huwezi kumdhalilisha Muislamu mwenzano kiasi hiki.

Mtume Muhammad (SAW) amesema hivi jiepusheni kutaja mabaya ya maiti zenu. Yaani hata kama yapo basi jiepusheni kuyataja.

Sheikh Mungu akurehemu na asamehe madhambi yako na akuingize peponi kwa rehma zako. Aaamiin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…