Sheikh Jassim ajiondoa kwenye mpango wa kuinunua Manchester United

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Sheikh Jassim ambaye ni mwekezaji kutoka Qatar alikuwa mmoja wa wawekezaji wawili waliosalia katika mpango wa kuinunua Manchester United amefuta mpango wake huo baada ya wamiliki wa klabu Familia ya Glazers kukataa mapendekezo yake.

Hatua hiyo inamaanisha mwekezaji pekee aliyesalia kwenye mchakato huo ni Sir Jim Ratcliffe raia wa Uingereza.

Inadaiwa kuwa Jassim aliongeza dau la kuinunua United mara kadhaa ndani ya wiki chache zilizopita lakini Familia ya Glazers ikakataa, ikidaiwa kuwa dau aliloweka ni Pauni Bilioni 5.5 lakini Glazers walitaka bn but still Pauni Bilioni 6.

Mashabiki wengi wa United wamekuwa hawawasapoti wamiliki wa sasa na mara kadhaa wamesisitiza wakiwataka waondoke na wauze hisa zao.


======== ============== =========

Sheikh Jassim WITHDRAWS offer for Manchester United after growing increasingly frustrated after Glazers reject latest Qatar proposal... leaving door open for rival Sir Jim Ratcliffe

Sheikh Jassim has withdrawn his offer for Manchester United.

In a bombshell move that opens the door for rival Sir Jim Ratcliffe, the Qatari has pulled out of the race for the Premier League giants after becoming increasingly frustrated with the club’s owners, the Glazer family.

It is thought that Jassim made an increased bid in the last few weeks but again failed to meet the Glazers’ valuation. That offer was thought to be around £5.5bn but still short of the £6bn the Americans are thought to want.

Sources have disclosed that Jassim held further and final discussions and negotiations over the last few days. But after again having his offer – which was for 100 per cent of the club – rejected he decided to pull the plug on what has been a nine-month saga.

The Qatari believed he would have been the ‘dream owner’ according to those with knowledge of the situation, and is saddened by how it has played out.

Jassim’s move now leaves Ratcliffe in pole position. The British petrochemicals billionaire appears to have made the breakthrough with a bid for a quarter of the club, which does meet the Glazers’ valuation.

How the development is received by United fans, who had demanded a full sale and the departure of the Glazers, remains to be seen.

Source: Dailymail
 
Nakaribia kuachana na utumwa wa kufuatilia club za Europe.
Manchester United nilikupenda lakini Glazza family wanakupenda zaidi, sio mbaya nikabaki na Yanga yangu.
 
Huo ndo ubepari, klabu ni ya kwao hivyo hakuna wa kuwapangia...by the way glazers walitaka wawe na hisa lakini mwarabu anaitaka klabu yote, mmoja anataka wagawane mwingine anataka vyote hapo lazima mshindwane.
 
Huo ndo ubepari, klabu ni ya kwao hivyo hakuna wa kuwapangia...by the way glazers walitaka wawe na hisa lakini mwarabu anaitaka klabu yote, mmoja anataka wagawane mwingine anataka vyote hapo lazima mshindwane.
Hivi unasikia unavyoongea? Klabu ni Yao,how?

Hii ni kasoro kubwa ktk suala ya kuuziana hiz klab, lazima huko mbelen kuwe na kipengele, cha kumzuia au kunyang'anywa klabu. Article hiyo lazima iwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…