Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 Mar 29, 2024 #381 JET SALLI said: Ww ulikuwa unaishi nchi gani wakati huo. Click to expand... Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo Kibo
JET SALLI said: Ww ulikuwa unaishi nchi gani wakati huo. Click to expand... Tanzania, Dar es Salaam, Ubungo Kibo
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Mar 29, 2024 #382 Waongo hao. Mimi hao nawajua vizuri mno masheikhe wa hapo kinondoni.
N NorthFace Member Joined Dec 7, 2022 Posts 56 Reaction score 52 Mar 29, 2024 #383 johnthebaptist said: [emoji23] Sasa Shujaa Magufuli aliingiaje Ndani ya huo msikiti na kuagiza AC ziongezwe nk nk?![emoji209] Click to expand... Ule msikiti hauna ACs, kuna feni
johnthebaptist said: [emoji23] Sasa Shujaa Magufuli aliingiaje Ndani ya huo msikiti na kuagiza AC ziongezwe nk nk?![emoji209] Click to expand... Ule msikiti hauna ACs, kuna feni
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Mar 29, 2024 Thread starter #384 Msanii said: Tunachompendea Mkwere ni ubingwa wa fitina. Hii nchi haitopona endapo wanafiki wataendelea kueneza unafiki wao Click to expand... Maisha bila unafiki hayanogi
Msanii said: Tunachompendea Mkwere ni ubingwa wa fitina. Hii nchi haitopona endapo wanafiki wataendelea kueneza unafiki wao Click to expand... Maisha bila unafiki hayanogi