18 November 2022
SHEIKH JUMANNE, WEMA UMENIPONZA.
Sheikh Jumanne Kingu akiongea kwa uchungu baada ya kuachiwa huru na mahakama ya wilaya ya Arusha.
Criminal Case number 67 of 2022 Jamhuri vs Jumanne Juma Kingu Tuhuma zilikuwa kuwafanyia ukatili watoto wa shule mojawapo mjini Arusha.
Mbele ya Hakimu P Meena na hakimu D.J Msoffe wote (senior resident magistrate) wote ngazi ya hakimu mkazi mkuu wa mahakama, upande wa Jamhuri waendesha mashtaka walishindwa kupata mashahidi (witness) katika case mbiili zilizeweza kuwashilishwa kati ya case 20 za tuhuma za kulawiti watoto wa shule.
Hivyo chini ya section 225 (5) of the Criminal Procedure Act R: E 2022 mtuhumiwa Jumanne Juma Kingu ameachiliwa huru.