Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
View attachment 1109407
Bilionea kutoka familia ya Kifalme Abu Dhabi, Sheikh Khaled Bin Zaed Al Nahyaan yuko katika hatua ya mwisho kuinunua New Castle United kwa kitita cha pauni Milioni 350.
Sheikh Khaled yupo katika mazungumzo ya mwisho na Mike Ashley ambae ni mmiliki wa klabu hiyo
Sheikh Khaled ni binamu wa Sheikh Mansour ambae ni mmiliki wa Manchester City.
Waarabu sio watu wa spotispoti jamani 😁😁 Mungu amewabariki sana hawa ndugu zetu, sipati picha hawa mabeberu wa kizungu wakiona matajiri wa kiarabu wakimiliki klabu ndani ya nchi zao, Mfano PSG, Man City, kama sikosei na West Ham na sasahivi wako katika hatua ya mwisho kuinunua New Castle.
Timu zote za UK zinaweza kuwa chini ya himaya ya Waarabu maana jamaa hela ya mafuta wanayo ile mbaya hadi inamwagika.
Excellent investment.
Sanaa mkuu BAK, wenzetu wako mbali sana.
Hivi kwanin wasisaidie masikini mapesa yao kwa kuanzisha NGO'S around the worldTimu zote za UK zinaweza kuwa chini ya himaya ya Waarabu maana jamaa hela ya mafuta wanayo ile mbaya hadi inamwagika.
Excellent investment.
Hivi kwanin wasisaidie masikini mapesa yao kwa kuanzisha NGO'S around the world
Hujui Simba na Yanga ni zaid ya Vilabu vya Mpira?Sie waarabu na wahindi wetu wakitaka kununua vikwazo kibaoooo.. Huku Ligi haina mdhamini
Dah vita ya top4 itakuwa Hatar Sana maana itakuwa top 6 hapo itabid tupeleke petition UEFA Kuwa England iongezewe timu ziwe 5 maana si kwa mtifuano huo
Sisi Manchester united sijui wanatutakia nini
Man U ina hela kushinda MaN city na Psg combined. Tatizo wala sio hela.Tafuten wawekezaj huko arabuni maana waarabu wanampunga hawaangalii faida s unaona Jirani yako hapo anavyotumbua nakusumbua kwa pesa ya mwarabu
Wanaogopa TRAHivi kwanin wasisaidie masikini mapesa yao kwa kuanzisha NGO'S around the world
Tutakoma kwa kweli kwa kiwango chakumuongezea mkataba smalling,, Ashley youngSisi Manchester united sijui wanatutakia nini