IpoMbona hakuna kideo hapo.
Nimeshaiona, kumbe ipo kwa mfumo tofauti.
Anhaa,tulishazoea youtubeNimeshaiona, kumbe ipo kwa mfumo tofauti.
Tofauti za lugha zisikuchanganye mkuu! kwani Kisu (Kiswahili) na Knife (english) ni vitu viwili tofauti?Hebu wajuzi wa mambo wanisaidie.
Kama wanayemuita Nabii Isa ndio huyohuyo Jesus?
Na je alikuwa Mtasha a.k.a mzungu au Mwarabu? maana najua Mtasha asingeitwa Isa na Mwarabu asingeitwa Jesus...au ni Watu wawili tofauti?
Hawezi kuwa mtansha maana alizaliwa mashariki ya kati na mama yake alikuwa na chimbuko la hukoHebu wajuzi wa mambo wanisaidie.
Kama wanayemuita Nabii Isa ndio huyohuyo Jesus?
Na je alikuwa Mtasha a.k.a mzungu au Mwarabu? maana najua Mtasha asingeitwa Isa na Mwarabu asingeitwa Jesus...au ni Watu wawili tofauti?
Hujajibu swali Mkuu.Tofauti za lugha zisikuchanganye mkuu! kwani Kisu (Kiswahili) na Knife (english) ni vitu viwili tofauti?
anaitwa sheikh Hillary KipoozeoHivi ila jina uwa ni la utani au serious?sheikh kipozeo!!!!????
Duh duniani kuna majina aiseeanaitwa sheikh Hillary Kipoozeo
Hawezi kuwa Mtasha? wewe uliwahi kuona wapi Jesus akitambulishwa kwa muonekano wa Kiarabu?Hawezi kuwa mtansha maana alizaliwa mashariki ya kati na mama yake alikuwa na chimbuko la huko
ndio hivyo mkuuDuh duniani kuna majina aisee
ndo huyo huyo, waislam wanamuita Nabii Issa wakristo wanamuita JesusHujajibu swali Mkuu.
Huyo anayeongelewa na pande zote mbili, huku Jesus na kule Isa ni Mtu mmoja? kama ni mmoja, alikuwa Mwarabu au Mzungu?
Hiyo ni perception ya sisi binadamu kama ambavyo watu uwa wanadhani ile picha ni sura ya yesu na ni yesu mwenyewe.Hawezi kuwa Mtasha? wewe uliwahi kuona wapi Jesus akitambulishwa kwa muonekano wa Kiarabu?
Maria (Mama Mzazi) mwenyewe anatambulishwa kama Mzungu.