Sheikh kipozeo (mzee wa Neema za Allah) kumchana diamondplatnumz live

Hujajibu swali Mkuu.

Huyo anayeongelewa na pande zote mbili, huku Jesus na kule Isa ni Mtu mmoja? kama ni mmoja, alikuwa Mwarabu au Mzungu?
Ni huyo huyo mmoja kwa mapokeo tofauti...hakuwa mwarabu wala mzungu bali ni muiziraili(israil/jewish).
 
MZEE WA NEEMA ZA ALLAH
 
Hebu wajuzi wa mambo wanisaidie.

Kama wanayemuita Nabii Isa ndio huyohuyo Jesus?

Na je alikuwa Mtasha a.k.a mzungu au Mwarabu? maana najua Mtasha asingeitwa Isa na Mwarabu asingeitwa Jesus...au ni Watu wawili tofauti?

In short, Yesu alikuwa mwizi wa mbao. Wauza mbao walikuwa wanaibiwa sana, kumbe yule jamaa alikuwa anawalia timing alfajiri wakati usingizi ni mtamu. Walivyoamua kukesha kama Sungusungu mpaka wampate mwizi wao, ndio yule jamaa akaingia mtegoni. Wakamlamba siku moja alfajiri, wakambebesha mbao zake kumpeleka kwa Pirato. Sasa vibaka wenzie wakina Yuda, ndio wakachomekea story za kubebeshwa msalaba kumbe zilikuwa mbao za wizi, na watu kwa umbumbu wao wanaamini mpaka leo. Na huyo Kipozeo hana lolote, jitu jeusi kama mkaa lakini kujitia uarabu. Mbona hatujawahi kumuona mwarabu anacheza Gombe Sugu, huu si ulofa huu?
 
Hebu wajuzi wa mambo wanisaidie.

Kama wanayemuita Nabii Isa ndio huyohuyo Jesus?

Na je alikuwa Mtasha a.k.a mzungu au Mwarabu? maana najua Mtasha asingeitwa Isa na Mwarabu asingeitwa Jesus...au ni Watu wawili tofauti?
Anzisha uzi wako,huu unamuhusu Mondy aka baba "Tiffa"
 
Hivi waislam wanaruhusiwa kunywa pombe? ? Mbona ilo hakemei kuhusu unywaji wa pombe? Yeye ameona ilo tu la kuvaa misalaba? ?
 
Hebu wajuzi wa mambo wanisaidie.

Kama wanayemuita Nabii Isa ndio huyohuyo Jesus?

Na je alikuwa Mtasha a.k.a mzungu au Mwarabu? maana najua Mtasha asingeitwa Isa na Mwarabu asingeitwa Jesus...au ni Watu wawili tofauti?
Na alikua mswahili? Maana kuna Yesu. Kama ni mtasha asingeitwa Yesu
 
Ameuona Msalaba na Alelujah tu basi, hajaona muziki ulivyojaa uchafu mwingi? Acha maisha ya watu yasonge kila mtu atapambana na hali yake siku ya hukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…