Sheikh kipozeo (mzee wa Neema za Allah) kumchana diamondplatnumz live

Kweli kabisa watu wengi ni wepesi wa kuhukumu kama vile wapo safi! kila mtu ni mdhambi siku ya mwisho atapambana mwenyewe. Ndo maana vijana wengi awaendi makanisan au msikitikini kwa ajili ya kuogopa kuhukumiwa na hao Mungu watu.
Hakuna ukweli hapo....Uislamu unatoa wajibu kwa kila.muislamu Kukumbushana pale ambapo watu watakuwa wanajisahau...Allah katika kuhimiza wajibu huu kwa waislamu anasema:

"Kumbusha hakika ukumbusho utawafaa wenye kuamini"

"Kumbusha hakika wewe ni mkumbushaji"

"Ummat Muhammad,mmefanywa kuwa umma bora,kwani mnakumbushana kufanya mema na mnakatazana mabaya"

Kipozeo yupo katika kutekeleza wajibu wake wa kisheria tu juu ya ukumbusho.so halaumiki.
 
Issa na Jesus ni watu wawili tofauti, Jesus alizaliwa, akateswa, akafa siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni.

Sasa tafuta sifa za Issa ndio utathibitisha hawa ni watu wawili tofauti kama Thomson na Thompson.
Nadhani wewe ndiyo unahitaji kusoma vitabu vyako vizuri
 
Hujajibu swali Mkuu.

Huyo anayeongelewa na pande zote mbili, huku Jesus na kule Isa ni Mtu mmoja? kama ni mmoja, alikuwa Mwarabu au Mzungu?
Issa na Jesus ni watu wawili tofauti
 
Hebu wajuzi wa mambo wanisaidie.

Kama wanayemuita Nabii Isa ndio huyohuyo Jesus?

Na je alikuwa Mtasha a.k.a mzungu au Mwarabu? maana najua Mtasha asingeitwa Isa na Mwarabu asingeitwa Jesus...au ni Watu wawili tofauti?
Kwanini Mtasha/Mzungu asiitwe Issa?
Unataka mambo ya kilimwengu kuyahukumia kwa maono ya akili yako??
 
Hawezi kuwa Mtasha? wewe uliwahi kuona wapi Jesus akitambulishwa kwa muonekano wa Kiarabu?

Maria (Mama Mzazi) mwenyewe anatambulishwa kama Mzungu.

Jesus wa black period
 
No, it is a believer n follower of Islamic Religion, the true and right faith ever!


Blindfolded Africans ndio wanaamini hizo superstitions za kiarabu na scam za kwenye biblia.
 
Wakati mwingine kukaa kimya nako ni busara
 
Kwenye dini yetu tuko huru kuchagua tuwapendao ww tatizo lako nini.
Mkuu
Turudi kwenye Uzi.
Je unaafikiana na mtazamo wa shekh?
Kama ndio kwasababu zipi?

Kwangu mimi siioni Dini kwa maisha na kazi anayofanya Diamond.
Diamond anafanya kazi ya usanii sio ya dini.katika kazi ya usanii Diamond anafuga rasta anaimba miziki.
Maisha yake halisi ni hajaoa na anazini[emoji23][emoji23] deile.

Nikiunganisha na hizi dini zetu zisizopenda mizaha na usasa mwingi.

Sioni kwanini diamond alaumiwe kwa maisha ya dini asiyoyaamini kua yatamtengenezea njia bora.

Diamond ni mburudishaji katika kumbi za starehe sio misikitini nk. Hajaanza leo na yeye sio wa kwanza. Walikuwepo wakongwe wakina marijan rajabu nk.

Kama angekua hajatoboa, hao wanaomlaumu wasingemtafuta. Lakini kwakua kafanikiwa, wanampangia na aina ya sanaa anayopaswa kuifanya. Is this fair?
 
Shekhe asiumize kichwa na Dimond kwani moja kwa moja ni kafiri aliye Mnafki ambaye ni mmbaya zaid, sioni haja ya kushangaa kwa hayo baya zaid yy kujiunga na FREEMASON yatosha kuwa kafiri
 
Unayoyasema ni sahihi katika mtizamo wa kidunia lakini sio sahihi kabisa katika mtizamo wa kidini...diamond inajulikana ni muumini wa dini ya kiislamu,sasa kama viongozi wa dini wanaona kijana anakoelekea siko,yaani anavuka mipaka,basi ni wajibu wao kumkumbusha ili arudi kwenye mstari au asijisahau sana.

Kama ameamua kuibeba dunia mazima,basi ajipambanue tu ili hao masheikh waache kumfuatilia au kumkumbusha...ikiwezekana ajitangaze tu kama ameritadi ili awe huru,maana kwenye ukristo au dini nyengine sheria zimelegezwa kidogo kulinganisha na huku kwenye Uislamu.
 
Fuatilia hapa ishu nzima na vita nzima kati ya diamond Platnumz na Mashekhe, wengine wamponda na wengine wamsifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…