jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 May 12, 2025 #21 Huyu shehe si ndio aliyeomba dua Afande sele afe. Mashehe wote wanafiki ni vile wanatofautina level za ujinga na unafiki tu.
Huyu shehe si ndio aliyeomba dua Afande sele afe. Mashehe wote wanafiki ni vile wanatofautina level za ujinga na unafiki tu.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 May 12, 2025 #22 Jack Daniel said: Hapa kama Una akili timamu Una elewa kitu, Kwanza kabla hujamsifu kishki Kwa misimamo yake,jiulize alikuwa wapi siku zote kuwachana hao ndugu zake. Kubali ukatae,kishki ni mnufaika wa awamu hii ya sita kuliko unavyofikiri. Click to expand... Alowahifadhi ili wajirudi.
Jack Daniel said: Hapa kama Una akili timamu Una elewa kitu, Kwanza kabla hujamsifu kishki Kwa misimamo yake,jiulize alikuwa wapi siku zote kuwachana hao ndugu zake. Kubali ukatae,kishki ni mnufaika wa awamu hii ya sita kuliko unavyofikiri. Click to expand... Alowahifadhi ili wajirudi.