Tatizo ni uelewa mdogo. Ogelea waliootea/kutekwa kwa watu. Hilo hulionni unaona la kusemwa viongozi! Tuwasifie hadharani, bali tusiwakosoe hadharani. Rubbish!Wito umetolewa kwa Watanzania kuendeleza desturi ya muda mrefu ya kuwaheshimu viongozi na kwamba hata pale inapoonekana kuna ulazima wa kuwakosoa, basi ukosoaji huo utanguliwe na staha ya kuwaheshimu viongozi wahusika
Wito huo umetolewa leo, Jumamosi Juni 07.2025 na Sheikh wa mkoa wa Simiyu Sheikh Issa Kwezi wakati akitoa Mawaidha baada ya kujumuika pamoja na Waislamu wengine kwenye Swala ya Eid Adh-ha mkoani humo
"Watanzania mara zote tumesimama katika maadili ya kuheshiana, mdogo anamuheshimu mkubwa na yule asiyekuwa na cheo ambapo yeye anaongozwa anamuheshimu yule ambaye anamuongoza, na hizo ndio tamaduni zetu, lakini leo tunaona mpaka watu wazima wamepoteza maadili kwa kisingizio tu cha demokrasia" -Sheikh Kwezi
Kaja na msisitizo kabisa wa rangi ya johoWito umetolewa kwa Watanzania kuendeleza desturi ya muda mrefu ya kuwaheshimu viongozi na kwamba hata pale inapoonekana kuna ulazima wa kuwakosoa, basi ukosoaji huo utanguliwe na staha ya kuwaheshimu viongozi wahusika
Wito huo umetolewa leo, Jumamosi Juni 07.2025 na Sheikh wa mkoa wa Simiyu Sheikh Issa Kwezi wakati akitoa Mawaidha baada ya kujumuika pamoja na Waislamu wengine kwenye Swala ya Eid Adh-ha mkoani humo
"Watanzania mara zote tumesimama katika maadili ya kuheshiana, mdogo anamuheshimu mkubwa na yule asiyekuwa na cheo ambapo yeye anaongozwa anamuheshimu yule ambaye anamuongoza, na hizo ndio tamaduni zetu, lakini leo tunaona mpaka watu wazima wamepoteza maadili kwa kisingizio tu cha demokrasia" -Sheikh Kwezi
Wanachama chao CHAUMA cha ubwabwa kikiongozwa na kibaka john mrema mpishi wa maharageKuna baadhi ya Masheikh wakishakula ubwabwa wa bure, kinachofuata hapo ni kubwabwaja tu.
Wewe acha chuki mbna Kuna mashehe waliwekwa ndani zaidi ya miaka 14 na hamkusema kitu?? Alaf hoja ya kuwa eti Kisa kiongozi ni wa dini yake ni hoja dhaifu kwa sababu ww nenda kaangalie Wizara zoote na taasisi za serikali ni wepi nafasi nyingi za uongozi lazima utakuta Wakristo ni wengi wenye nafasi kubwa za uongozi katika ma Wizara na taasisini kwa sababu viongozi waliopo ni waislam wenzie, ila wangekuwa wa dini ingine angeongea vingine. shehe hajawahi kutekwa wala kupotelewa na ndugu, ndio maana hana uchungu na haelewi uhalisia wa uchungu wake upoje. shehe angekuwa babake SATIVA aliyetupwa aliwe na fisi angeongea hayo? shehe angekuwa babake mdude, babake soka au babake shehe aliyeokotwa kafa zanzibar, angejua uchungu na kutoa ushauri bora kwa viongozi. kama hawasikii sirini lazima lisemwe hadharani.
hata gwajima ilipaswa wamuweke yeye ndani, sio kufuta kanisa. ndicho tunachosea. hawatakiwi kufunga kanisa wala misikiti, wanatakiwa kufunga mashehe au wachungaji. nimejaribu kukutafunia manake kichwa ngumu kuelewa naona.Wewe acha chuki mbna Kuna mashehe waliwekwa ndani zaidi ya miaka 14 na hamkusema kitu?? Alaf hoja ya kuwa eti Kisa kiongozi ni wa dini yake ni hoja dhaifu kwa sababu ww nenda kaangalie Wizara zoote na taasisi za serikali ni wepi nafasi nyingi za uongozi lazima utakuta Wakristo ni wengi wenye nafasi kubwa za uongozi katika ma Wizara na taasisi