Unasema watu wanalalamikia kitendo cha jk kusema anaunda tume ya katiba??, yes watu wana haki ya kufanya hivyo kwa sababu rais atakaowateua na kuwapa hadiju za rejea ana uwezo wa ku wacontrol na pili badala ya wateuliwa kulinda maslahi ya wananchi watalinda maslahi ya yule aliyewateua kumbuka methali ya atakayemlipa mpiga zumari ndiye atayechagua wimbo, kama wewe ulioni hilo sorry waache wanaoliona walimulike na siyo ku question nia zao.
Huyu anaonekana kumtetea jk kuliko hata katiba aliyopaswa kuitetea si ajabu ana kadi ya ccm mfukoni. Watu wana haki ya kutomuamini jk kutokana na record yake ya kuzungumza uongo ukianzia swala la richmond mpaka issue ya takukuru. Km wewe unamwani jk endelea kumwamini ukatazwi na sisi ambao hatumwamini jk kwa sababu ya record mbaya. Kitendo chake cha kuporomoka kutoka asilimia 84% mpaka 60% kwa kuchakachua kwenye uchaguzi ni ushahidi tosha kuwa people don't trust him anymore.