Nakusalimu maalim Mohamed Said
Hii picha niliikuta katika kumbukumbu zangu, lakini sikumbuki asili nilipoipata, napia mueleo wangu ni mdogo juu ya hili suala, kwaiyo naomba msaada kwa mujibu wa uweleo wako juu ya hichi cheo cha uliwali kilivokua na historia yake pamoja na kilivokufia.
Nitafurahi sana kama utagusia mawili matatu.
View attachment 1028150
Nakuwekea kwanza historia ya wakati ule ili umjue Liwali Ahmed Saleh na Sheikh Said Chaurembo kisha nitakuekeza haya mengine kuhusu uliwali.Mohamed Said: LIWALI AHMED SALEH NA SHEIKH SAID CHAUREMBO
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka mleta mada alitaka msaada kujulishwa Liwali alikuwa na majukumu yapi, maana hasa ya hicho cheo. Nimekusoma sehemu zote mbili sijaona.
Gagnija,Bila shaka mleta mada alitaka msaada kujulishwa Liwali alikuwa na majukumu yapi, maana hasa ya hicho cheo. Nimekusoma sehemu zote mbili sijaona.