Sheikh Mselem bin Ali alitunukiwa nishani na Waislam akiwa jela mwaka 2014

Ulisikia aliwahi mtikila kammwagia mtu tindikali,kuchoma kanisa au kuua padri? Na Toka hao mashehe wawekwe ndani umewahi kusikia kuna tukio lolote Zanzibar? Na kama hakuna, kwanini? Use your brain
Kwani unao ushahidi wa uamsho kumwagia mtu tindi Kali au kuua padri? Mbona unakwenda kinyume Na amri kumi Za biblia ?

Matukio ni mengi Tu ya kuuliwa watu Na majeshi kutoka Tanganyika Na mliyoyakodi kutoka Burundi, wakati wa uchaguzi
 
Sasa unaniambia mimi, kwani mi CCM au serikali. Mi sipo huko. Nipo kwenye facts. Ukitaka ukitafakari na kukichuja kitu,epuka kuweka emotions na imani
 
Sasa unaniambia mimi, kwani mi CCM au serikali. Mi sipo huko. Nipo kwenye facts. Ukitaka ukitafakari na kukichuja kitu,epuka kuweka emotions na imani
Kwani wewe si mkristo? Hao waliouawa ilikuwa ni Amani hiyo wakati masheikh wako gerezani?
 
Soma vzr nlichoandika mkuu
 
Soma vzr nlichoandika mkuu
Nimesoma vizuri sana. Huo uunguja na upemba uliousema aliuanzisha Nyerere baada ya kuvamia visiwa 1964 na kuleta maneno hayo. Wazanzibari wameishi pamoja kwa makarne na hatujasikia katika historia kuwepo hayo maneno.
 
Hawa watu ukitaka kuwatetea inabidi ujitoe akili. Kilichokuwa kinaendelea ni uchochezi wa ghasia na si dini. Tusitake kuchanganya hivi vitu tafadhaliView attachment 1822782
Maneno ya hatari sana yalisemwa na huyu sheikh na yangeachwa yakazoeleka basi kule kuyaishi kungeumiza baadhi ya watanzania.

Viongozi wa taifa wakati ule walifanya maamuzi ya kishujaa kuzima muelekeo mbaya uliokuwa unatukabili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…