Sheikh Othiman: Wanaowanunua watu wanaohubiri amani wana pesa kiasi gani hao?

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Nimemsikiliza huyu Sheikh kwa utulivu sana! Amezungumzia ishu kubwa ya amani ambayo imeshakuwa wimbo kama wa taifa kwa viongozi na baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini pia. Lakini yeye amehoji kwamba kila anayehubiri amani basi ataambiwa amenunuliwa.

Ishu si kuhubiri amani, bali pia nchi kwetu hapa kwa sasa haki imeminywa sana kwahiyo tunatamani nyie kama viongozi wa dini pia mseme kuhusu haki za wananchi sio amani pekee yake. Maana kama hakuna haki pia hakuna amani
===================
Watanzania wezangu na waislamu wezangu sijui tunamtazo gani mtutu yoyote anayezungumza amani kwa tiketi ya dini zinakuja dhana kanunuliwa hao wanao wanunuwa watu wanapesa kiasi gani?

Na kwanini watu wanunuliwe wakiwa wanahubiri amani? Kama mtu angekuwa anahubiri uchama maana tuna vyama vingi sijuwi ingekuwa chama gani? hata sivitaji tunahubiri amani ili Mungu atubakishe amani Amesema Sheikh Othiman

Your browser is not able to display this video.
 

..huyu Shekhe anaishi Tanzania kweli?

..hakuwaona wale jamaa wa chama fulani waliochangisha billioni 80+ ndani ya masaa matatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…