Tetesi: Sheikh Othman Maalim afukuzwa Zanzibar

Hivi ndio kitu kinachoitwa Ugaidi kinatengenezwa,kwani sheikh ana wanafunzi,wapenzi,ndugu na jamii ya hasa ndugu zake katka imani tutarajie nn hao watafurahia udhalilishaji huo?nchi inakwenda kibaya sana
Mgeni ukiambiwa rudi kwenu umedhalilishwa?
 
Hili Taifa halitaki ndoto,atakaa miezi minne jela kama yule mbunge.
Sisi huku tunaota maziwa kutoka mabombani tu.
 


Haijalishi, kama naye ni gaidi basi lazima apelekwe Somolia au Nigeria akale sahani moja na wakereketwa wenzake aone jinsi atakavyopendwa.
 
So aje bongo tu
 
Hivi mahakama zetu zinasikilizaga kes za ndoto? Ha ha ha
 
Othman Maalim
Mimi namkumbuka SHEKH KULWA SHAURI
Walimtimua kwa sasa anaishi Tabora na maisha yake ni mazuri kuliko alivyokuwa huko kwenye taifa la wanafiq
 
Mambo yenu yaishie hukohuko tafadhali watu tumeshatandika ulanzi wetu tunasubiri Noah hapa maswala ya Sheikh cjui ndugu katika imaan yaishie hukohuko hapa ni ndugu katika makinikia upo Sheikh?
Tambua sote tupo kwenye chombo kimoja kinachosafiri majini,kama wenzetu wanalitoboa unadhani utasalimika?Tumakinike
 
Amefukuzwa kwenda wapi?
 
Nadhani khutba zake za mwisho mwisho aliitaka serikali itende haki na mshindi apewe haki yke ambapo ni zaidi ya mwaka sasa.
Kaanza kupewa haki yake yeye kwanza, maana hakujua anakaa kwa hisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…