Sheikh Ponda Ahoji Uhalali wa Serikali: Vitendo vya Mauaji na Utekaji vinavyokithiri nchini. Watu wanauawa, Wanatekwa. Maisha ya Kinyama

Nchi imefikia hadi watoto wadogo wa miaka 2 wanajua nchi haiko salama
Wanaagana na wazazi wao huku wanalia wakijua huenda watarudi au wasirudi
 
Huyu kindakindaki LUCAS MWASHAMBA hatujamsikia kukemea utekaji na mauaji, yeye ni kusifia sifia tu!. Labda anaandaa UZI makini, tumpe muda!
 
Kwa mauaji haya ni wazi kabisa hatuna serikali Bali tuna Midori tu imeziba nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…