Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.Huyu ndio Muislamu angalau mwenye akili akili.
Hao hata wale mashekhe ambao wako mahabusu kwa tuhuma za ugaidi miaka na miaka huwezi kuwasikia wakiwaongelea,wanawaza kuchinja wanaotumia haki yao ya kuandamana tu.Huwezi kuwasikia Masheikh wa Bakwata wakiongelea kuhusu uonevu anaofanyiwa Lissu! Na haiji kutokea.
Huwezi kuwasikia wakiongelea kuhusu haki na usawa kwenye jamii! Isipokuwa utawasikia mara zote wakiongelea kuhusu wananchi kuienzi amani na utii kwa mamlaka.
Bakwata ni jumuiya ya CCM kama ilivyo UVCCM tu, naona tartiiib KKKT nayo inasogezwa huko.Huwezi kuwasikia Masheikh wa Bakwata wakiongelea kuhusu uonevu anaofanyiwa Lissu! Na haiji kutokea.
Huwezi kuwasikia wakiongelea kuhusu haki na usawa kwenye jamii! Isipokuwa utawasikia mara zote wakiongelea kuhusu wananchi kuienzi amani na utii kwa mamlaka.