Sheikh Ponda Maktaba: Kadhia ya Kuwaunga Mkono Wapalestina

Sheikh Ponda Maktaba: Kadhia ya Kuwaunga Mkono Wapalestina

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda.
Kwangu ilikuwa furaha kubwa.

Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa Wapalestina kwa msiba mkubwa unaowakabili.

Wapalestina watawaandika wananchi wa Tanzania katika historia ya vita hivi vya Ghaza kwa kuwa nao bega kwa bega pale walipokuwa katika dhiki kubwa ya kuyakabili majeshi ya Wazayuni.

Msikilize Sheikh Ponda:


View: https://youtu.be/sP1cU1TpRg0
 
Back
Top Bottom