Sheikh Saad Al Ghamidi

Sheikh Saad Al Ghamidi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwa maoni yangu binafsi, Al Sheikh Saad Al Ghamidi ndio Sheikh ambae ame i recite Suratul Yaseen kwa kutumia melody nzuri pengine kuliko yoyote yule duniani. Nenda You Tube kisha type " Surah Yasin ( FULL) Beautiful. Ina views Milioni 51 na imekuwa uploaded 9 years ago.

n.b: Sheikh Ghamidi ni raia wa Saud Arabia anae ishi nchini Saud Arabia.
 
masha allah.

sheikh umekimbia kule grupuni kwetu afya care.

nitumie PM
 
kwangu mimi naona saad ame recite vizuri suratul swaad
 
Kuna mwamba kutoka Misri alikua anaitwa Abdul Basit Abdus Samad,alifariki mwaka 1988
mapaka leo sijaona mtu wa kumfikia huyu mwamba katika usomaji wa Qur'an.
 
Kila herufi ya kiarabu ina khodam,Kwa nini alphabet zingine hazina khodam naomba jibu #Likud
 
ni kweli.ila kwangu sudeis na ahmed ajmy ndo moyo wangu ulipolala.
 
Back
Top Bottom