masha allah.
sheikh umekimbia kule grupuni kwetu afya care.
nitumie PM
kwangu mimi naona saad ame recite vizuri suratul swaadKwa maoni yangu binafsi, Al Sheikh Saad Al Ghamidi ndio Sheikh ambae ame i recite Suratul Yaseen kwa kutumia melody nzuri pengine kuliko yoyote yule duniani. Nenda You Tube kisha type " Surah Yasin ( FULL) Beautiful. Ina views Milioni 51 na imekuwa uploaded 9 years ago.
n.b: Sheikh Ghamidi ni raia wa Saud Arabia anae ishi nchini Saud Arabia.
Yeye na mtume Mohammad nani hatari kwa usomaji wa Quran?Hujamsikia mansoor al salimi
mtume alikuwa ana mwambia sayidna ally amsomee qur anYeye na mtume Mohammad nani hatari kwa usomaji wa Quran?
Kuna jamaa hapa kwenye msikiti wa handeni ni noma na nusu.Kuna mwamba kutoka Misri alikua anaitwa Abdul Basit Abdus Samad,alifariki mwaka 1988
mapaka leo sijaona mtu wa kumfikia huyu mwamba katika usomaji wa Qur'an.
Kwahiyo mtume hakuwa hodari wa kusoma Quran?mtume alikuwa ana mwambia sayidna ally amsomee qur an
Kwahiyo mtume hakuwa hodari wa kusoma Quran?