Mungu amrehemu....Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya kupata ridhaa kutoka kwa familia.
Kazaliwa Machame,kazikwa Mecca Saudi Arabia
Kazaliwa nchi isiyo takatifu?Poleni wafiwa wote.
Heri hata amezikwa huko nchi takatifu.
Eti amezikwa "nchi takatifu"Poleni wafiwa wote.
Heri hata amezikwa huko nchi takatifu.
Imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba hii dunia.Sheikh Said Nyange amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 48 usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua ghafla akiwa Makka nchini Saudi Arabia alipokwenda kuhiji na tayari ameshazikwa hukohuko baada ya kupata ridhaa kutoka kwa familia.
Kazaliwa Machame,kazikwa Mecca Saudi Arabia