TANZIA Sheikh Salim Mubaaraka (Daruwesh Mtu Mkavu) amefariki dunia, Agosti 21, 2024

TANZIA Sheikh Salim Mubaaraka (Daruwesh Mtu Mkavu) amefariki dunia, Agosti 21, 2024

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wote tumepata msiba mzito kwa kuondokewa na Shehe maarufu nchini aendaye Kwa jina la Salim Mubaaraka (Daruwesh Mtu Mkavu) ambaye amefariki Dunia alfajiri ya Jumatano tarehe 21 / 08/ 2024

Innaa Lillah Wainnaa Ilayhi Raajiuun...

Darsa Tv

1724292816381.jpg
 
Alikuwa Chawa au siyo Chawa ili nijue natoa Pole yangu au niichunie tu nisiitoe? Kwani siku hizi Viongozi wetu wa Dini wamehama katika yale ya Msingi na kuhamia katika Uchawa.
 
Alikuwa Chawa au siyo Chawa ili nijue natoa Pole yangu au niichunie tu nisiitoe? Kwani siku hizi Viongozi wetu wa Dini wamehama katika yale ya Msingi na kuhamia katika Uchawa.
Sheikh ninayemuheshimu ni Sheikh Ponda tu.

Huyu hana historia ya uchawa na atabaki hivyo mpaka siku yake ya mwisho.
 
Darsa ni neno la kiarabu lenye maana ya (Somo)
Ndio hoja ya muuliza swali, anauliza hiyo channel haiwezi kuitwa Somo tv?

Yani watu wawe waislamu lakini wasitekwe hadi na utamaduni, maana utakuta mmatumbi ndevu zake kapaka inna ili afanane na mtume, mswahili wa kariakoo lakini analazimisha kuongea kwa lafudhi ya kiarabu, huu ni utumwa.
 
RIP.
Zamu ya mja ikifika ni sababu tu hutokea na kuitwa!

Tuendelee kumcha mwenyezimungu na unyenyekevu was kutosha!
 
Inna lillahi wa inna illayhi rrajiuun!

Allah ampe kauli thabiti ,aaamin aaamin !!

#Duniani Tunapita tu

#Upendo na Amani ndio nguzo [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ndio hoja ya muuliza swali, anauliza hiyo channel haiwezi kuitwa Somo tv?

Yani watu wawe waislamu lakini wasitekwe hadi na utamaduni, maana utakuta mmatumbi ndevu zake kapaka inna ili afanane na mtume, mswahili wa kariakoo lakini analazimisha kuongea kwa lafudhi ya kiarabu, huu ni utumwa.
Wako waislamu waliotekwa na utamaduni wa kiarabu kwa kufanya hayo uliyoyaandika hapo....

Wako wakristo waliotekwa na utamaduni wa kizungu ,kwa kuvaa suti na tai ,magauni mafupi ,kula kwa vijiko na umma....hili si kosa wala halihesabiwi kuwa ni kosa kwani yuko anayeifuata imani na akaishi mwenendo wa hao waliomletea imani......

#Upendo ,amani ,utu na heshima ndio kila kitu [emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom