Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Lugha ya Allah hiyo.Rip
Hv hapo kwenye Darsa Tv hawawezi kuandika Darasa TV?
Alikuwa Chawa au siyo Chawa ili nijue natoa Pole yangu au niichunie tu nisiitoe? Kwani siku hizi Viongozi wetu wa Dini wamehama katika yale ya Msingi na kuhamia katika Uchawa.Wadau wote tumepata msiba mzito kwa kuondokewa na Shehe maarufu nchini aendaye Kwa jina la Salim Mubaaraka (Daruwesh Mtu Mkavu) ambaye amefariki Dunia alfajiri ya Jumatano tarehe 21 / 08/ 2024
Innaa Lillah Wainnaa Ilayhi Raajiuun...
Darsa Tv
Darsa ni neno la kiarabu lenye maana ya (Somo)Rip
Hv hapo kwenye Darsa Tv hawawezi kuandika Darasa TV?
Sheikh ninayemuheshimu ni Sheikh Ponda tu.Alikuwa Chawa au siyo Chawa ili nijue natoa Pole yangu au niichunie tu nisiitoe? Kwani siku hizi Viongozi wetu wa Dini wamehama katika yale ya Msingi na kuhamia katika Uchawa.
Ndio hoja ya muuliza swali, anauliza hiyo channel haiwezi kuitwa Somo tv?Darsa ni neno la kiarabu lenye maana ya (Somo)
🤣 🤣 🤣Rip
Hv hapo kwenye Darsa Tv hawawezi kuandika Darasa TV?
Siku hizi unamsikiA ponda?Sheikh ninayemuheshimu ni Sheikh Ponda tu.
Huyu hana historia ya uchawa na atabaki hivyo mpaka siku yake ya mwisho.
Na Darasa ina maana gani?Darsa ni neno la kiarabu lenye maana ya (Somo)
Wako waislamu waliotekwa na utamaduni wa kiarabu kwa kufanya hayo uliyoyaandika hapo....Ndio hoja ya muuliza swali, anauliza hiyo channel haiwezi kuitwa Somo tv?
Yani watu wawe waislamu lakini wasitekwe hadi na utamaduni, maana utakuta mmatumbi ndevu zake kapaka inna ili afanane na mtume, mswahili wa kariakoo lakini analazimisha kuongea kwa lafudhi ya kiarabu, huu ni utumwa.