Uchaguzi 2020 Sheikh Sharif Majini achukua fomu za Ubunge Handeni vijijini kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Sheikh Sharif Majini achukua fomu za Ubunge Handeni vijijini kupitia CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea Ubunge jimbo la Handeni vijijini Hussein Msopa maarufu kama Sheikh Sharif Majini ni mmoja wa wagombea walionitokeza leo na amefika ofisi za CCM wilaya ya Handeni kwa ajili ya kusalimia na baadae kuelekea ofisi ndogo ya CCM Mkata kuchukua fomu ya kugombea Ubunge.

Majini.jpg

Bungeni patanoga huku Nabii Shilla hapa Sheikh Sharif majini kule askofu Gwajima Shetani lazima akimbie.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sheikh Sharif Majini amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Handeni vijijini kwa tiketi ya CCM.

Bungeni patanoga huku Nabii Shilla......hapa Sheikh Sharif majini.....kule askofu Gwajima
Shetani lazima akimbie.

Maendeleo hayana vyama!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Basi muache kuhoji elimu ya Sigu na Mnyika kuwa hawana shahada za chuo kikuu.
Shangazi unajua Ile ilmu aliyonayo ni PhD kwa hali ya kidunia. Hawa wengine elimu yao inadaiwa ni ya hapa na pale.. Ngoja nirudi kupanga foleni ya kuchukua fomu hapa Mugumu.
 
Shangazi unajua Ile ilmu aliyonayo ni PhD kwa hali ya kidunia. Hawa wengine elimu yao inadaiwa ni ya hapa na pale.. Ngoja nirudi kupanga foleni ya kuchukua fomu hapa Mugumu.
Hata Mbowe ana Masters ila hapendi kujitangaza
 
Back
Top Bottom