johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sheikh Sharif Majini amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Handeni vijijini kwa tiketi ya CCM.
Bungeni patanoga huku Nabii Shilla......hapa Sheikh Sharif majini.....kule askofu Gwajima
Shetani lazima akimbie.
Maendeleo hayana vyama!
Basi muache kuhoji elimu ya Sugu na Mnyika kuwa hawana shahada za chuo kikuu.Anajua kusoma na kuandika tu.. Ilmu yake yatosha kwa maendeleo na mshikamano wa chama.
Mbona umemruka Mbowe?Basi muache kuhoji elimu ya Sigu na Mnyika kuwa hawana shahada za chuo kikuu.
Degree ya theology?Morogoro University!
Ndio kama Gwajima!Degree ya theology?
Ili iweje?,anajua kusoma na kuandikaYEHODAYA huyu Sharifu Majini ana elimu ya darasa la ngapi?
Hata Mbowe na Sugu wanajua kusoma na kuandika muwaache.Ili iweje?,anajua kusoma na kuandika
Nani kawagusa tena?Hata Mbowe na Sugu wanajua kusoma na kuandika muwaache.
Shangazi unajua Ile ilmu aliyonayo ni PhD kwa hali ya kidunia. Hawa wengine elimu yao inadaiwa ni ya hapa na pale.. Ngoja nirudi kupanga foleni ya kuchukua fomu hapa Mugumu.Basi muache kuhoji elimu ya Sigu na Mnyika kuwa hawana shahada za chuo kikuu.
Hata Mbowe ana Masters ila hapendi kujitangazaShangazi unajua Ile ilmu aliyonayo ni PhD kwa hali ya kidunia. Hawa wengine elimu yao inadaiwa ni ya hapa na pale.. Ngoja nirudi kupanga foleni ya kuchukua fomu hapa Mugumu.
Watu wasioenda shule au waliofeli ndio hufanya vizuri siasani!Hata Mbowe ana Masters ila hapendi kujitangaza
Pole pole naye umemsahauMbona umemruka Mbowe?
Sasa mbona mnataka kumpa The Beauty with Brain jimbo la Mbeya mjini kama andazi vile.Watu wasioenda shule au waliofeli ndio hufanya vizuri siasani!
Vyeti siyo " shule " ni utambulisho tu!Sasa mbona mbataka kumpa The Beauty with Brain jimbo la Mbeya mjini kama andazi vile.