PostGE2025 Sheikh: Tanzania hakuna wanasiasa, tuna wanaotukana matusi. TEC mko wapi wakati wanasiasa wanaongea lugha za matusi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Mbona kama hili suala limechukuliwa serious sana na? Sasa TEC wanahusikaje na hoja za wanasiasa?

Kosa la TEC ni kukemea mauaji?

"Haya yametokea kwa sababu hatuna wanasiasa sasa hivi tuna mitusi tu.

Sasa hivi hatuna wanasiasa tuna watu wa kuwatia hasira wananchi badala ya kutoa sera wanakuja na matusi kitu ambacho pia ni ishara ya uvunjifu wa amani.

TEC mko wapi wakati wanasiasa hawa wanaongea lugha za matusi?


Your browser is not able to display this video.
 
Tec watoke tarehe 9 watangulie mbele kwenye maandamano ya wizi na uharibifu wa mali ili waikomboe nchi
 
Matusi ni yapi? Kama mtu anakwambia ukweli kwani kakutukana?

Atutajie mwanasiasa gani katukana? Kama ni hivi vibwagizo vinavyotolewa na wanachama au washabiki ni matusi ? Watu wanabishana hawaelewani lakini hawapigani.

Mkapa ndiyo alianzisha neno “wivu wa kike”
Simba Jike kaanzisha - Nywi Nywi Nywi
Nyerere alisema wanasiasa “Malaya Malaya”
JK alimwambia JPM “Anajimwambafy”
Lisu alimwita JPM dikteta uchwara
Hayo ni matusi?

Ukiumia ni tusi
 
With due respect sheikh Mwaipopo
mimi sio mwanasiasa ila we shee UMA MAMA YAKO
 
Samia anazidi kufeli, baada ya kuwachinja Watanganyika zaidi ya 10,000 sasa anataka kuanzisha vita ya kidini. Laiti tungekuwa na Jeshi linalojitambua huu ndiyo wakati wa kuingilia ili kuzuia hatari ya vita ya kidini inayokuja.
 
Kwa akili Yako unakaa unamsikiliza mtu kutoka bakwata?!
 
Tatizo lenu hamkubali ukweli na mnaishi kwa mihemko na matusi
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…