Sheikh: Uchawi umeletwa na Allah, ukiutumia vizuri sio dhambi

Sheikh: Uchawi umeletwa na Allah, ukiutumia vizuri sio dhambi

Kam uchawili ni jambo la kishetani, na shetani kaumbwa na kungu, then uchawi umetoka kwa Mungu,

Kupinga hilo ni kusema Mungu hana mamlaka na uchawi na ni vitu vilivyo nje ya uwezo wake au mamlaka yake.

Tumieni akili wagalatia, najua neno Allah ndo lawatisha hapo.
 
Hiyo tunafahamu ndio maana tunawaambia kila siku kuwa Allah sio Mungu wa kweli ambaye ndiye ametuumba. Allah ni mungu feki au kiuhalisia anaitwa Ibilisi Shetani. Naye ndiye muasisi wa dini. Mungu wa kweli anaitwa Mungu wa Israel ambaye anatambulika ktk Biblia Takatifu. Naye amekataza kabisa watu wake kutafuta uchawi. Uchawi ni nguvu za giza.
 
Takbiiiir. Allah ni fala huwa tunawaambia kila siku. Kwenye ile miungu 360 ya waarabu allah ndiyo boss wao.
 
Kam uchawili ni jambo la kishetani, na shetani kaumbwa na kungu, then uchawi umetoka kwa Mungu,

Kupinga hilo ni kusema Mungu hana mamlaka na uchawi na ni vitu vilivyo nje ya uwezo wake au mamlaka yake.

Tumieni akili wagalatia, najua neno Allah ndo lawatisha hapo.
Amesema uchawi umetoka kwa allah, hajasema kwa Mungu
 
Hivi Sasa ni vichekesho , kwanini mungu , ameumba uchawi ?
 
Mungu ni roho na kwa kuwa vitu vyote ni kazi yake,shetani na mambo yake kama uchawi ni kazi ya mikono yake.Kuzitenganisha kazi za shetani na Mungu kunamwondolea Mungu sifa za kujua yote,kuweza yote na kuwa kila mahali na hivyo kumlinganisha na binadamu tu.Mungu hakujua ya kuwa Lucifer atamwasi?
Mungu hakuwa na uwezo wa kumdhibiti?Mungu hakuwa eneo la tukio wakati Lucifer anaasi na kushawishi theluthi ya malaika?Maswali haya ukiyafikiri kwa kina utaishia kumwona shetani kama mjumbe wa Mungu anayeutangaza ukuu wa Mungu kwa kutengeneza upinzani feki ili nguvu ya Mungu ijidhihirishe kwa kuusambaratisha.Vinginevyo uamini kwamba Mungu hana hizo sifa.Ni uzumbukuku kuamini mafundisho ya dini hizi kwani zina kinzana na fikira za mtu aliyepita shule ya kufikiri.
 
Kam uchawili ni jambo la kishetani, na shetani kaumbwa na kungu, then uchawi umetoka kwa Mungu,

Kupinga hilo ni kusema Mungu hana mamlaka na uchawi na ni vitu vilivyo nje ya uwezo wake au mamlaka yake.

Tumieni akili wagalatia, najua neno Allah ndo lawatisha hapo.
Allah ni mwema kila wakati.
 
Back
Top Bottom