Msiba mkubwa wa kumpoteza Sheikh Salum Mahami akiongoza Mkoa wa Singida aliyetutoka leo Alhamisi Aprili 15, 2021
Tunatoa pole kwa wafiwa wote
Bwana ametoa & Bwana ametwaa & Jina lake lihimidiwe
Taarifa kwa mujibu wa Mufti Sheikh Aboubakar Zuberi
Baraza la Ulamaa katika kikao chake cha tarehe 04/04/2021 chini ya Mwenyekiti wake Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana kwa Mujibu wa Katiba ya BAKWATA ya Mwaka 1999 toleo la Mwaka 2018 ibara ya 63(6) Kilimteua Sheikh Salum Mahami kuwa Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Singida.
... "Verily we belong to God, and verily to Him do we return."; apumzike kwa amani. Serikali iwe makini isije kuwa 3rd Wave ndio imengia! At least tuna Rais msikivu sasa.