Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Hajitambui huyu ndugu yetuNdugu Shekhe mishipa imemsimama kuzungumzia maandamano!
Kwahiyo kutakuwa na maandamano ya upande wanaiunga mkono serikali na wale wanaopiga uchaguzi! Hayaaa!!
===============
Wale wahuni wanaotaka kuandamana wakaombe kibali Serikalini huo ndio utaratibu wa maandamano kwa Tanzania na Dunia kote.
Watanzania shikilieni amani tarehe 29 tokeni mkapige kura mkachague kiongozi mnaomtaka, achaneni na maandamano amani hii bado tunaitaka.
Mpaka wewe umeliona hilo! Kweli mambo yameivaSasa kati ya wananchi na serikali ni nani anayechafua AMANI?.
mbona kundi la watekaji hamliweki kwenye wachafuzi wa hyo amani?ila kuandamana ndo mnaaona Kuna chafua AMANI?
NENO SHEKH NI KIFUPI YA NENO SHETANI so mashekh = mashetaniSiku hizi mbona mashehe wamekuwa na nguvu ya kuishsuri serikali
Pengine wanapewa chochote kitu,lakini si wote mi nadhani ni hawa wa bakwataSiku hizi mbona mashehe wamekuwa na nguvu ya kuishsuri serikali
Sheikh kazingua sana.Ndugu Shekhe mishipa imemsimama kuzungumzia maandamano!
Kwahiyo kutakuwa na maandamano ya upande wanaiunga mkono serikali na wale wanaopiga uchaguzi! Hayaaa!!
===============
Wale wahuni wanaotaka kuandamana wakaombe kibali Serikalini huo ndio utaratibu wa maandamano kwa Tanzania na Dunia kote.
Watanzania shikilieni amani tarehe 29 tokeni mkapige kura mkachague kiongozi mnaomtaka, achaneni na maandamano amani hii bado tunaitaka.
Masheikh wengi wa tanzania ni kama vichaa tu elimu ya dunia hawana hata passport tu hawapewi unamkuta sheikh anataka kwenda nje ya nchi hata kutaja wasifu wake tu mtihani mkubwa,ndo hawa masheikh wetu wanawaza kupata vijisenti nakutishia watu ntakusomea albadiri Sasa tutegemee ataongea nini cha maana kaz kujipendekeza serekalini na kwene vyama vya siasa ili wapate kuonekana.Sheikh kazingua sana.
Lakini hii ndiyo sababu mimi nilisema maandamano andamaneni siku yoyote lakini si siku ya uchaguzi.
Sheikh haelewi demokrasia haiendeshwi kwa amri kama dini.Masheikh wengi wa tanzania ni kama vichaa tu elimu ya dunia hawana hata passport tu hawapewi unamkuta sheikh anataka kwenda nje ya nchi hata kutaja wasifu wake tu mtihani mkubwa,ndo hawa masheikh wetu wanawaza kupata vijisenti nakutishia watu ntakusomea albadiri Sasa tutegemee ataongea nini cha maana kaz kujipendekeza serekalini na kwene vyama vya siasa ili wapate kuonekana.
Tuna mtihani sana basi hawana la maana huyo mzee kibao si muislamu kabisa lkn hawa masheikh wa bakwata hakuna hata mmoja alojitokeza kulaan au hata kupinga rile tukio,basi hawa Wakristo wanakheli zaidi.Sheikh haelewi demokrasia haiendeshwi kwa amri kama dini.
Kwenye mshono wa chupi yako.Sheikh kapiga kwenye mshono.
MShono upi? Wa ufisadi unaifanywa na Samia, Abdul, Mombo na Mchengerwa?Sheikh kapiga kwenye mshono.