Sheikh Yahaya anaweza kushitakiwa kifo cha Dk. Gama?

usishangae kusikia kuwa waliokufa wote walisababisha/watasababisha ushindi wa SUNAMI kwa chama chetu..............kuna
KOLIMBA, CHIFUPA, MALIMA, BALALI, GAMA, NYERERE, NG'ITU, JUMBE, ..............etc.......etc.......
wengi wa hawa walikuwa hawamtaki jk kwani walijua hana uwezo wa kuongoza ila anauwezo wa kuuza sura na kubembea ulaya na america,kwa hiyo haiyamkini kuwa huyu shkh feki wa kiislamu alitumika kuwaangamiza watu hawa ili wasiwe kikwazo kwa jk........
jk nae kimya kwani anajua staili alizotumia kupata uongozi ikiwa ni pamoja na kuwatumia hawa watu wa kuzimi akina yahya............
inaniuma sana nikifikiria
 
Msimamo wa familia ya Dk. Gama ni upi kwa wakati huu? kama kuna aliye karibu na familia hiyo.
 
usishangae kusikia kuwa waliokufa wote walisababisha/watasababisha ushindi wa SUNAMI kwa chama chetu..............kuna
KOLIMBA, CHIFUPA, MALIMA, BALALI, GAMA, NYERERE, NG'ITU, JUMBE, ..............etc.......etc.......
.

Dk Omar Ally Juma
 
mpaka hapa tulipo hii nchi inaendeshwa kichawi-chawi tu
Kwani ni siri? kumbuka mojawapo ya hotuba za Mwl Nyerere akieleza jinsi alivyopelekwa makaburini na yaliyofanyika huko,
 
JK anaamini sana ulozi yule. Anadhani watu walimpa urais sababu ya wachawi wake.
 

uchawi hauwezi kuwa proved scientifically. pia hauwezi kuhusishwa na mambo mengi ya kimaendeleo. hatuwezi kujenga barabara kwa uchawi, hatuwezi kuongeza mazao (kuondoa njaa) kwa uchawi nk.
People have to work hard

mimi nashauri tu tuachane na discussion za mambo haya, yanaturudisha nyuma sana. tu concentrate na mambo yenye tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…