Sheikh Yahaya na Kombe la Dunia 2010

Makanyaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2007
Posts
11,129
Reaction score
7,321
Vipi huyu mtaalamu wetu bado hajasema chochote kuhusiana na Bingwa wa Kombe la Dunia mwaka huu? Kuna tetesi anaweza akaitaja nchi husika, hasa michuano itakapokuwa imefika round ya 4 au 5 nadhani. Mwenye taarifa zaidi atuletee!
 
Huwa anatabiri baada ya timu kuchukua ubingwa, yaani baada ya mechi ya fainali kuchezwa yeye ndo anaibuka na utabiri wake.
 
"Wamuamini hao wamuaminiwo, ila kwa wasio muamini utabiri wake ni ujinga mtupu mbele z:jaw:
 
tuwaulize channel ten manake ndo wanamuamini na kumtukuza sana hadi wamempa kipindi
 
kwa hili naona yahya hawezi kuchangia kitu, hapa hakuna uchawi wowote ule na unajimu. anga hizi hana ubavu wowote bora amakaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…