Elections 2010 Sheikh Yahya alidanganya? Uchaguzi haujaahirishwa

Elections 2010 Sheikh Yahya alidanganya? Uchaguzi haujaahirishwa

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2008
Posts
1,246
Reaction score
402
Uchaguzi haujaahirishwa na tayari nipo kituoni kwa ajili ya kupiga kura. Kama utabiri huu wa kimajini umekwama, ule uchafu mwingine wa JK kushinda kwa kishindo upo kweli? Sheikh Yahya kajifiche kuzimu.
 
Asanteni, twendeni, wahimize na wengine, twendeni!!! Naenda kupiga chuo- mlimani
 
Uchaguzi haujaahirishwa na tayari nipo kituoni kwa ajili ya kupipiga kura. Kama utabiri huu wa kimajini umekwama, ule uchafu mwingine wa JK kushinda kwa kishindo upo kweli? Sheikh Yahya kajifiche kuzimu.

usisahau kwamba huyu mzee wa majini alidai kwamba mgombea atakayepambana na JK mauti yatamfika!
 
Hata Majini yamewakatalia kwa Ufisadi wao!!
 
Kwa maana imeandikwa" jiwe walilolikataa waashi ndilo jiwe kuula pembeni..............,.,."
 
Jamani wana jf,mi naelekea kituoni. Hima hima msiache kwenda kumchagua dr slaa.
 
shehe yahya bomu tu. Sijawahi hata kuweka utabiri wake ktk fikra za kweli. labda yeye ndio anajiandaa 'kutangulia mwalimu'
 
alitabiri sahihi... kuna mgombea urais mmoja kafa ---- ni yule fahmi, kaamua kufa na kumpa uhai wake JK
 
nimeskia ametabiri kuwa atashinda slaaa then jk atagoma kumpisha alafu jeshi litachukua serikari kwa muda usio julikana
 
Sheikh Yahya kuna haja ya kumhoji kulikoni mbona hakukuwa na msiba?
 
Hahahaha aisee huyu alisema atakayempinga huyu mkuu wa kaya angekufa kumbe
alikuwa anawatisha tu watanzania.Sasa watz katutishwi na majini na hatudanganyiki
 
Ole wao waaminio Shekhe Yahya na majini yake, Kawalia watu pesa zao nyingi kwa kujifanya mtabiri, Nategemea hajatoa sura yake kwenda kupiga kura na hata sikika teeeena katika TV, magazetini, redioni na kona zooote, DOWN SHEKHE YAHYA

Kapige kura kama hujaenda
 
Mwezi wa kwanza aliwatabiria ze komedi eti mwaka huu kila mmoja atafunga ndoa na mzungu.
 
Jina Yesu ni jina kuliko majina yote, pale litamkwapo Yesu, mapepo, majini, mashetani, vinyamkera na nguvu zote za giza husambaratika. Hilo ndilo jina lililotajwa na watanzania wengi ktk uchaguzi huu. Mie nimeshapiga kura yangu saa 7.37am. Ambao bao jamani tuhimizane.
 
hujui huyu ni secretary wa Shetani na ndio kazi anazofanya hakuna zaidi ya hapo,
mwache tu asubiri siku yake.
Uchaguzi haujaahirishwa na tayari nipo kituoni kwa ajili ya kupiga kura. Kama utabiri huu wa kimajini umekwama, ule uchafu mwingine wa JK kushinda kwa kishindo upo kweli? Sheikh Yahya kajifiche kuzimu.
 
nimepiga kura majira ya saa tatu . VITA ANAPIGANA YEYE ALIYE JUU, TUMWACHIE . HUYO MZIMU(YAHYA HUSSEIN) APOTELEE KUZIMU.
 
Shehe Yahaya ni wakala wa shetani. Ndiyo wale ambao wanaitwa wakuu wa giza katika maandiko matakatifu ukisoma Waefeso 6:10-12, kwa wasomaji wa Biblia. Hana jipya zaidi ya wizi wake!!
 
Back
Top Bottom