Nimekumbuka enzi za nabii Eliya na Waganga. Mungu wa kweli amejulikana. Kakobe na manabii wenzake wa kweli walisema hakuna atakayekufa lakini Sheikh Yahaya na manabii wenzake wa bahari walisisitiza kuwa hakuna uchaguzi. Mungu wa kweli amejidhihirisha!!!
Kwa mtaji huo hata Kikwete ajue kuwa ushindi aliohakikishiwa na nabii wa baari ni batili. Nabii wa kweli alisema "Mtawala anayegombea hatapata" Tusubiri yatimie baada ya siku 3 kuanzia sasa