Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
muda mfupi kabla ya uchaguzi wa Kenya mtabiri maharufu mtoto wa Sheikh Yahya alitabiri kuwa raila Odinga atashinda uchaguzi wa Kenya kwa kishindo.na kuna rafiki yangu leo hii ameliwa dolla 5000 kwa kubet mshindi kuwa ni raila odinga,na kama raila angefanikiwa basi angeshinda dolla 50,000.nawaomba wa kenya wakubali matokeo ili kusongesha maendeleo ya nchi mbele
Mkuu huyu mtoto wa sheikh Yahya ni mganga njaa tu, wanaomfatilisha ni wa kuonea huruma!!
sijui atatwambia nini watanzania sasa hivi? rafik yangu alimwamin sana,sasa hivi yuko analia
Mpe pole, lakini we learn through mistakes!!
nimemwambia ahachane na mambo ya kuamin hao watabiri,sababu tuliwai kuambiwa atakaompinga mkuu kwenye uchaguzi atakufa,lakin naona alikufa mtabiri,waliompinga wako hai