nafikiri utabiri wa gwajima unafanya kazi, ngoja tusubiri tuone..yetu macho..Mungu amsaidie tu aokoke kwasababu baada ya kifo ni hukumu hakuna kutubu tena.
Mtu akiwa anaumwa yanawezakana yakatokea moja kati ya mambo mawili apone au Afariki sasa hakuna cha ajabu kufa mtu au kupona mkuu. atapona tu sheikh Yahya Hussein inshallah.