Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
MTAA WA SHEIKH YUSUF BADI LINDI
Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake.
Sheikh Mohamed Yusuf Badi ni sheikh pekee katika masheikh waliopigania uhuru wa Tanganyika ambae amepewa mtaa.
Wanafunzi wake wawili Salum Mpunga na Yusuf Chembera ndiyo waasisi wa TANU Lindi.
Yusuf Chembera ndiye aliyesoma hotuba ya kupokea uhuru tarehe 9 Desemba 1961.
Hotuba hii iliandikwa na Sheikh Yusuf Badi.
PICHA: Mtaa wa Sheikh Mohamed Yusuf Badi, Salum Mpunga, Yusuf Chembera na kitabu cha historia yao.