Shekh Mataka: Viongozi wa Dini hawapaswi kuikosoa Serikali, wanatakiwa kuishauri serikali, na hata ikibidi kukosoa watumie kauli laini

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,455
Reaction score
5,134
Your browser is not able to display this video.

Odemba: Nafasi ya viongozi wa dini ni ipi pale ambapo serikali inapokosea?

Mataka: Kiongozi wa dini jukumu lake ni ku nasihi na kutoa nasaha. Isipokuwa Mungu alimwambia Musa na Haruni nendeni mkazungumze na Firauni Firauni lakini zungumzeni naye kwa kauli laini. Kwa hivyo kiongozi wa dini kiongozi wa dini anayo nafasi ya kunasihi kwa hekima na busara.

Odemba: Na viongozi wa dini wanapaswa kukosoa kuikosoa serikali pale ambapo inakosea, bila shaka, lakini unayemfikia humwadhibu sokoni.

Mataka: Tumia lugha laini, unayemfikia, unayemfikia, humtolei tangazo sokoni. Viongozi wa dini wakisimama katika nafasi yao yote inawezekana haya, na wakikosoa watumie lugha laini kama ulivyosema. Eneo hekima, hekima wakikosova kwa sababu unatakiwa ukosowe ukosowe jambo, usimwadhibu mtu. Usikosowe mtu, kosowa jambo.
 
2Timotheo 4:2,14-15
Lihubiri neno,uwe tayari wakati ufaao na usiokufaa,karipia,kemea,na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.Iskanda mfua shaba alionyesha ubaya mwingi kwangu Bwana atamlipa sawa sawa na matendo yake.Nawe ujihadhari na huyo kwa sababu aliyapinga maneno yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…